WINDOWS 10 PRO2025

Windows 10 Pro (Edition 2025)

Advanced Security & Professional Power by CHIDY TECH

Utangulizi

Windows 10 Pro ni mfumo uliotengenezwa kwa ajili ya watu wanaohitaji nguvu zaidi (Power Users) na biashara. Tofauti na toleo la Home, Pro inakupa uwezo wa kulinda data zako kwa BitLocker, kutumia Remote Desktop, na kuendesha mifumo mingine ndani ya computer yako kupitia Hyper-V.

Sifa Kuu za Toleo Hili

🛡️ Security

Inajumuisha BitLocker Drive Encryption na Windows Information Protection (WIP) kuzuia data kuvuja.

💻 Management

Group Policy Management na Assigned Access (Kiosk Mode) kwa ajili ya usimamizi wa ofisi.

🚀 Performance

Inasaidia RAM kubwa zaidi na imeboreshwa kwa ajili ya Multi-tasking nzito na Gaming.

Mahitaji ya System (Minimum)

Processor1 GHz au zaidi (Dual Core inashauriwa)
RAM2 GB (64-bit) | 4 GB+ Inashauriwa
Storage20 GB+ (SSD inashauriwa kwa spidi)
GraphicsDirectX 9 na WDDM 1.0 driver
Boot Guide

Jinsi ya Ku-install / Boot

Ili uweze kuweka Windows hii, unahitaji kutumia USB Flash (8GB+). Fuata mchoro huu wa mpangilio wa Boot:

Hatua za Haraka:
  1. Chomeka USB yako kwenye PC.
  2. Washa PC na ubonyeze F12 au F9 kuingia kwenye Boot Menu.
  3. Chagua USB Flash Drive kama kifaa cha kwanza kuanza.
  4. PC itaanza kupakia Windows Setup moja kwa moja.

Advanced Startup Options

Kama Windows yako inasumbua, unaweza kuingia kwenye repair mode bila USB:

Nenda: Settings > Update & Security > Recovery > Advanced Startup.

Tayari kwa Installation?

Bofya kitufe hapa chini kupakua Windows 10 Pro 2025 ISO (High Speed Link)


DOWNLOAD WIN 10 PRO ISO

Size: ~5.1 GB | Modded by: CHIDY TECH | Virus Free ✅

© 2026 chidygaming (world_chanpions _ftb). All Rights Reserved.

Chapisha Maoni

0 Maoni